Friday, May 13, 2011

NI NINI MAANA YA MAPENZI!

Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anana vyoona.
Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika mambo yote yanayo husu maisha kwa ujumla.
MSINGI HASA WA MAPENZI 1-UVUMILIVU
2-HEKIMA
3-BUSARA
4-UPENDO
5-UWAZI
6-HESHIMA
1-Uvumilivu katika mapenzi ni suala la msingi sana kwani kama nilivyotangulia kusema kuwa mapenzi ni kama safari ambayo ina mambo mengi ikiwemo mateso na mabadiko mbali mbali. kwa hiyo bila uvumilivu ni kazi bure.
2-Hekima ni hali ya kunyenyekea. ili mapenzi yaweze kuwa mapenzi lazima kuwe na unyenyekevu wa kutosha.

3 comments:

  1. Naisi kuwa mapenzi ninjia mojawapo ambayo naweza kufananisha na nusu ya maisha....maana, maisha yanaliza,yanaumiza pale utakapo hona mwenzako kafanikiwa, pia yana humiza

    Mapenzi...pia penzi nilaumiza pale unapo toswa na yule umpendae,pia yanaliza kiasi chake kwamambo ambayo yanategemeana kwa kiasi ulicho fanyia na mpenzi wako...Maisha inasafari ngumu na isiyo heleweka kuwa lini unaweza kufanikiwa, na Mapenzi pia, auwezi ukatabiri kuwa yule unaye pendana naye, mnaweza kufikia kiwango mlicho kipanga, zikiwemo promises, or Ahadi....kwakufanikiwa kimaisha nilazima usikate tamaa naukubaliane na kila hali ngumu,ili ufanikiwe malengo yako na ndoto zako...pia Mapenzi inabidi ujitoe kwa moyo wako, na kupambana na vizuizi ambavyo vinaweza kukukatisha tamaa, na ambavyo zinaweza sababisha usifanikishe ndoto zako au zenu....

    Hasante sana, by vincent k.mzaliwa mkangya

    ReplyDelete